Article archive

Idadi ya watu duniani yafikia bilioni 7

01/11/2011 07:05
Idadi ya watu Duniani imefikia bilioni 7 Jumatatu na kupelekea kuwepo na sherehe na wasi wasi wakati mmoja kutokana na namna watu zaidi wanavyo athiriwa na rasilimali ya dunia inayopungua. Umoja wa Mataifa ulichagua Octoba 31 kuwa siku ya kuadhimisha tukio hili la...

HOT NEWZ...............UNYAMA UNYAMA MZEE WA MIAKA 60 LUDEWA ACHOMWA MOTO KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

01/11/2011 06:20
  mwili wa marehemu mzee Laurance Nkwera Umati wa Wananchi waliofika kushuhudia tukio hilo wakiwa wamemshikilia dada wa marehemu aliyekuwa akilia huku akimlaumu marehemu kaka yake kwa kujihisisha na uchawi na kukataa ushauri wake.   MTU MMOJA aitwaye Laurance...

Kim Kardashian awasilisha maombi ya talaka!

01/11/2011 06:14
   Watu wengi pengine mtajiuliza kunani Hollywood? wengine mtasema ndio kawaida yao na wengine watasema inabidi umjue mtu kwa muda kabla hujaamua kufunga ndoa . Na ikiwa ni wiki 10 tu tangu alipoolewa kwa ndoa ya fahari ya hali ya juu hatimaye amewasilisha maombi ya talaka...

Mbunge wa Arusha mjini kuamua kwenda rumande ni ushupavu au kutafuta umaarufu?

01/11/2011 00:55
Katika hatua isiyokuwa ya kawaida mbunge wa Arusha mjini kupitia tiketi ya Chadema Godbless Lema aliamua kwa hiari yake kwenda lupango (rumande) baada ya kusomewa mashitaka matano yanayomkabili. Nikiangalia jambo hili najiuliza wanasiasa kadhaa walipata umaarufu mkubwa baada ya kuwa na...

Zitto aeleza kinachomsibu

31/10/2011 10:33
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe amebainisha tatizo linalomsibu akisema madaktari wamemweleza kwamba anasumbuliwa na ugonjwa wa kipanda uso unaofahamika kitalaamu kama sinusitis ambao kwa hatua uliokuwa umefikia, tiba yake isingepatikana nchini.Kutokana na kubainika kwa...

Francis Miyeyusho ndio bingwa mpya wa mabara.

31/10/2011 10:23
  Ule msono wa ngoma ikivuma sana hatimaye hupasuka ulidhihirika jumapili baada ya bondia machachari anayeinukia Francis Miyeyusho kushinda Mbwana Matumla a.k.a Golden Boy. Mbwana alipata jina la Golden Boy kutokana na utaalam wake wa kuzichapa ngumi...

Zanzibar yazidi kwenda juu

31/10/2011 02:16
Zanzibar kimekuwa ni kisiwa kinachosifiwa sana hasa katika masuala ya utalii kuna nyimbo nyingi za kusifu kiswa hichi maarufu kinachounda jamhuri ya muungano wa Tanzania. Wanamuziki wengi wametoa nyimbo kusifu kisiwa hiki nchini Tanzania na nje ya nchi hiyo ukianzia na kibao maarufu...

Mbwana Matumla Golden boy kuonyeshana kazi na Francis Miyayusho

30/10/2011 14:22
Bondia hatari kutoka kwenye ukoo wa mabondia Mbwana Matumla(Golden Boy) anapambana na Francis Miyayusho katika kuwania mkanda wa UBO INTER-CONTINENTAL BANTAM WEIGHT. Mdhamini wa pambano hilo na mkurugenzi wa Kampuni ya Darworld Links Ltd, Mohamed Bawazir akizungumza na waandishi kwenye...

Yanga yashinda 1-0

30/10/2011 00:48
Kikosi cha Simba. Kikosi cha Yanga. Ule mpambano Yanga na Simba uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu kati ya watani wa jadi Yanga na Simba hatimaye umekamilika mkali na wana jangwani Jumamosi hii ambayo walikuwa na wasi wasi na safu ya ushambuliaji ya Simba watoka kifua mbele kwa bao...

Vigogo wamiminika kumwona Zitto kabla ya kupelekwa India

29/10/2011 07:19
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alikuwa miongoni mwa viongozi mbalimbali wa kitaifa waliofika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kumjulia hali, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe muda mfupi kabla ya kupelekwa India kwa matibabu zaidi.Naibu Katibu Mkuu huyo wa Chadema, anakuwa kiongozi...
Items: 1 - 10 of 23
1 | 2 | 3 >>