News

Francis Miyeyusho ndio bingwa mpya wa mabara.

31/10/2011 10:23
  Ule msono wa ngoma ikivuma sana hatimaye hupasuka ulidhihirika jumapili baada ya bondia machachari anayeinukia Francis Miyeyusho kushinda Mbwana Matumla a.k.a Golden Boy. Mbwana alipata jina la Golden Boy kutokana na utaalam wake wa kuzichapa ngumi...

Zanzibar yazidi kwenda juu

31/10/2011 02:16
Zanzibar kimekuwa ni kisiwa kinachosifiwa sana hasa katika masuala ya utalii kuna nyimbo nyingi za kusifu kiswa hichi maarufu kinachounda jamhuri ya muungano wa Tanzania. Wanamuziki wengi wametoa nyimbo kusifu kisiwa hiki nchini Tanzania na nje ya nchi hiyo ukianzia na kibao maarufu...

Mbwana Matumla Golden boy kuonyeshana kazi na Francis Miyayusho

30/10/2011 14:22
Bondia hatari kutoka kwenye ukoo wa mabondia Mbwana Matumla(Golden Boy) anapambana na Francis Miyayusho katika kuwania mkanda wa UBO INTER-CONTINENTAL BANTAM WEIGHT. Mdhamini wa pambano hilo na mkurugenzi wa Kampuni ya Darworld Links Ltd, Mohamed Bawazir akizungumza na waandishi kwenye...

Yanga yashinda 1-0

30/10/2011 00:48
Kikosi cha Simba. Kikosi cha Yanga. Ule mpambano Yanga na Simba uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu kati ya watani wa jadi Yanga na Simba hatimaye umekamilika mkali na wana jangwani Jumamosi hii ambayo walikuwa na wasi wasi na safu ya ushambuliaji ya Simba watoka kifua mbele kwa bao...

Vigogo wamiminika kumwona Zitto kabla ya kupelekwa India

29/10/2011 07:19
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alikuwa miongoni mwa viongozi mbalimbali wa kitaifa waliofika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kumjulia hali, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe muda mfupi kabla ya kupelekwa India kwa matibabu zaidi.Naibu Katibu Mkuu huyo wa Chadema, anakuwa kiongozi...
Items: 6 - 10 of 17
<< 1 | 2 | 3 | 4 >>

Amazing Rock Restaurant in Tanzania

Amazing seafood restaurant is located on a rock near the Michanwi Pingwe beach in Zanzibar, Tanzania.
Customers of the Rock Restaurant are able to eat delicious food on the terrace and enjoy beautiful views of the Indian Ocean.

Kuelekea Miaka 50 ya Uhuru, Nini kifanyike kwa Tanzania Bora!

Огромный выбор

Date: 17/08/2020 | By: GeorgeJuise

#Hookahmagic
Мы всегда с Вами и стараемся нести только позитив и радость.
Ищите Нас в соцсетях,подписывайтесь и будьте в курсе последних топовых событий.
Строго 18+

Кальянный бренд Фараон давно завоевал сердца ценителей кальянной культуры вариативностью моделей кальянов,
приемлемым качеством и низкой ценовой политикой. Именно эти факторы играют главную роль в истории его успеха. Не упускайте очевидную выгоду и вы! Заказывайте кальян Pharaon (Фараон) 2014 Сlick в интернет-магазине HookahMagic и оформляйте доставку в любой регион РФ. Мы гарантируем быструю доставку и высокое качество предоставляемой продукции.

https://h-magic.su/adalia
Удачных вам покупок!

Uboreshaji wa elimu na Utandawazi

Date: 24/10/2011 | By: Halima Soud Al Haad

Hello Kitaani,
Ili kuwa na Tanzania Bora, Serikali iangalie upya suala la uboreshaji wa sekta ya elimu na utandawazi ili kuendana na teknolojia mpya.

Shule za kata hazina walimu na uongozi wake haueleweki, sambamba na Wanafunzi kujifunza teknolojia kwa chaki darasani..inapaswa tubadilike! Tuboreshe Ubora wa elimu ili tupate wataalamu wa kusaidia nchi yetu!

New comment